Ukipiga picha ya Uchi, unastahili kusitiriwa?!

Ukipiga picha ya Uchi, unastahili kusitiriwa?!

Hivi kweli mtu mzima na akili zako tena wengine na watoto juu wanapiga picha za uchi huu ni ujinga uliopitiliza dawa Yao ni kuyatundika tu hiyo mabwambwali Yao mtandaoini ili hata mitoto Yao na mijukuu yao Ije Ione uchizi ya wazazi wao.pumbavu kabisa

Sasa kama mtu anatembea kariakoo mapaja yote yako nje na haoni shida, utambabaisha na haya mitandaoni kweli.
 
Maadili ya Mtanzania mbele

Kumekuwa na wimbi la wadada zetu kupiga picha au kuwa wepesi wa kushawishika kupigwa picha za uchi.

Inashangaza sana Kwa mtu mwenye akili timamu anafikiaje maamuzi haya akijua kabisa hana control na chombo cha mpigaji au mtumiwaji.

Picha ikirushwa kwenye mamitandao zinakuja kesi za "kusitiriana"! Tuwa wakweli, Kama mtu kajitoa ufahamu, anayosifa ya KUSITIRIWA?

hakuna haja ya kusitiriwa cause wakati anapiga hiyo picha nia na madhumuni yake imtoe akiwa mtupu
 
Sasa kama mtu anatembea kariakoo mapaja yote yako nje na haoni shida, utambabaisha na haya mitandaoni kweli.
Jaribu siku moja kutembea kariakoo huku K yako au mkia wako upo nje halafu rudi humu kutujuza nini kilikusibu
 
Jaribu siku moja kutembea kariakoo huku K yako au mkia wako upo nje halafu rudi humu kutujuza nini kilikusibu

Kwa wasichana haya mambo hayawaumizi sana na ndio maana kila siku wanapiga picha za uchi.
 
wengne wanafanya makusudi - hawa hawaitaji kufichwa.

wale wanaopigwa picha bila ridhaa, inabidi waende kwa court...
 
wengne wanafanya makusudi - hawa hawaitaji kufichwa.

wale wanaopigwa picha bila ridhaa, inabidi waende kwa court...

"
kupigwa picha Bila ridhaa "

unataka ridhaa ipi na nguo mtu kavua mwenyewe
 
wengne wanafanya makusudi - hawa hawaitaji kufichwa.

wale wanaopigwa picha bila ridhaa, inabidi waende kwa court...
kweli mkuu nasikia kuna guest zimetegeshewa kamera.hakuna kugongana mchana,usiku zima taa kwa tahadhari
 
ukivua mwenyewe ni ruhusa tosha

Kwahiyo kama mimi na wewe tukakutana lengo ikiwa ni kufanya mapenzi inabidi tusivue nguo tufanye gubi gubi.

Na wanaume ndio mna hiyo mitindo ya kibaradhuli kumpiga mtu picha bila consent yake.
 
Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo
Kweli wapo wanawake wahivi hujitoa fahamu wakati mwingine hata hawaombwi hizo picha bali wao wenyewe huwatumia wapenzi wao sijui kuonyesha upendo. Nafikiri elimu inahitajika itolewe manake wengi hatujui athari za mitandao.
 
Kwahiyo kama mimi na wewe tukakutana lengo ikiwa ni kufanya mapenzi inabidi tusivue nguo tufanye gubi gubi.

Na wanaume ndio mna hiyo mitindo ya kibaradhuli kumpiga mtu picha bila consent yake.

wanawake wanapenda kupigwa picha za utupu

hapo ume base za kupigwa unasahau kuna za kujipiga mwenyewe na kurusha whatsapp

acha tu enjoy show

mtu picha yake ikivuja wakiziba wananikeraaa
 
Inatubidi tu tuwasitiri tu mkuu we unafikiri akiziona mkwe si ndo tutaanza kukwepana?
 
Mkuu nimecheka saana; wewe ulim provoke na maybe mlikuwa mbali, yeye akawaza mbali ili akate kiu yako!! sasa how come ukamchimba beat?
 
Back
Top Bottom