Sasa ukiwa padri utatunza pesa ili uwe tajiri au? Na ukishakuwa na pesa utazitumiaje ili ufaidi uwepo wako hapa duniani?Binafsi ningeensa seminari na kuwa padri, maana nilizikimbilia papuchi kumbe hazina maana kabisa, sana sanan zinanimalizia ela zangu tuu
Kwanini mkuu
hivi ngo'mbe wa kienyeji akilishwa vizuri anatoa maziwa lita ngapi kwa siku?ningechagua kuwa mfugaji wa ng'ombe na mifugo mingine. haya mambo ya kusoma na kuajiriwa uzushi