Mimi ningechagua kuwa president wa TANZANIA simply is easy to control, as you can just give order while on plane going accross the globe, nauza kila kinachouzika na ikibidi hata wadanganyika then after nasafiri kwenda kuishi zangu Norway! Kudaddeki.
swaziland
ntakua navaa kiasili tu haina jotro
ufalme wangu wa milele
kila mwaka nachagua wife mpya tu
You must have reasons to chose Angola eti? Share with us basi
Yan nina hamu ya kushika nchi hii hata kwa siku moja tu KOKUTONA yan nitawanyooshaje vilaza.Kwa nn Tanzania Erickb52?
Hili la mwisho nililo bold, kuongoza ni kuonyesha so as a president huon km ungechange the waves of msuwati na kuwa na mmoja tu the queen?
ka Avatar kako tu kamemaliza kila kitu
afu sio unachagua tu wifey ni wife ambaye yuko sealed
we ndo wa kwanza kufungua