Kweli mkuu, niko na mwanamke ambae nilidhani nitamuoa na alijua hilo but nikajashtuka Kama nalazimisha hisia juu yake japo ananipenda sanaKumuelewa na kumjali mwanamke ambae humpendi ni kujidanganya aiseeh; yeye atafikiri unafanya hivyo kwa sababu umeshaanza kumpenda kumbe wewe unafanya hivyo ili usimuumize!! hapo ndo unazidi kulikoroga kwa sababu some days utachoka kumfanyia ivo kwa sababu humuelewi yani ile siku ukichoka kumfanyia ivo thats where the troublesome begin....
Mkuu; Kumcare mtu ambae sina malengo nae yoyote just for the purpose ya kutokumuumiza, i did it once na siku nilipochoka (kwa sababu lazima uchoke tu si haumpendi!!) you know what i found?? It was chaotic, catastrophic!! Kama nisingenotice mapema kama ameshakunywa sumu na kumuwaisha hospitali maanake today ingekua different story.
MY TAKE: Ukipendwa na mwanamke ambae humpendi cha kwanza umwambie tena iwe MAPEMA sana then usimjali kiivo kwa sabu atafikiria possibly umeshachange your mind na kuanza kumuelewa which is not.
kupendwa na usiye mpenda inakeraa[emoji57]
Akikupa vyake unakula halafu ukienda kwa mashost zako unakuwa unampondakupendwa na usiye mpenda inakeraa[emoji57]
mtu nisiyempenda hata vyake sipokei, nikipokea atakua na matumaini huenda ntakuja kumuelewa kumbe holaaa.Akikupa vyake unakula halafu ukienda kwa mashost zako unakuwa unamponda
Naona unatangatanga tu dada, hebu kaa upande mmojamtu nisiyempenda hata vyake sipokei, nikipokea atakua na matumaini huenda ntakuja kumuelewa kumbe holaaa.
ahahaaa utajuaje nataka kutaga.Naona unatangatanga tu dada, hebu kaa upande mmoja
Hapo sawaahahaaa utajuaje nataka kutaga.
Ha ha ha kunguru hafugiki toka sitoki ...Wengine ni kunguru hawaelewi maana ya kupendwa lazima warudi majalalani wakachakure chakure. Ukigundua hivyo usipoteze muda wako au utaumiza moyo wako bure.
Kunguru hafugiki. Hayo si maneno ya BAK bali ya wahenga.