EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
hujawahi kupendwa na mwanamke ambae humpendi..!! Usingeanzisha huu uzi
Kumuelewa na kumjali mwanamke ambae humpendi ni kujidanganya aiseeh; yeye atafikiri unafanya hivyo kwa sababu umeshaanza kumpenda kumbe wewe unafanya hivyo ili usimuumize!! hapo ndo unazidi kulikoroga kwa sababu some days utachoka kumfanyia ivo kwa sababu humuelewi yani ile siku ukichoka kumfanyia ivo thats where the troublesome begin....Nshawahi mkuu, hapa namaanisha mpenzi wako, huyo anayekupenda na wewe humpendi maana yake nyie sio wapenzi.
Kumuelewa na kumjali mwanamke ambae humpendi ni kujidanganya aiseeh; yeye atafikiri unafanya hivyo kwa sababu umeshaanza kumpenda kumbe wewe unafanya hivyo ili usimuumize!! hapo ndo unazidi kulikoroga kwa sababu some days utachoka kumfanyia ivo kwa sababu humuelewi yani ile siku ukichoka kumfanyia ivo thats where the troublesome begin....
Mkuu; Kumcare mtu ambae sina malengo nae yoyote just for the purpose ya kutokumuumiza, i did it once na siku nilipochoka (kwa sababu lazima uchoke tu si haumpendi!!) you know what i found?? It was chaotic, catastrophic!! Kama nisingenotice mapema kama ameshakunywa sumu na kumuwaisha hospitali maanake today ingekua different story.
MY TAKE: Ukipendwa na mwanamke ambae humpendi cha kwanza umwambie tena iwe MAPEMA sana then usimjali kiivo kwa sabu atafikiria possibly umeshachange your mind na kuanza kumuelewa which is not.
Nilichokitumia kipindi kile ni hiyo heading yako Mkuu ya "ukipendwa, pendeka" which actually it doesn't work kwa wanaume wengi. Ulichokizungumza hapa ndio nimekitoa kwenye My take pale chini.Bro kama hukumpenda kwann ulianzisha mahusiano nae??
Ukiona mtu anakuonyeaha dalili za kukupenda unamwambia vile unafeel right from the beggining
Mapenzi ni mutual feeling for both sides
Nilichokitumia kipindi kile ni hiyo heading yako Mkuu ya "ukipendwa, pendeka" which actually it doesn't work kwa wanaume wengi. Ulichokizungumza hapa ndio nimekitoa kwenye My take pale chini.
Hii kitu inakera balaa mkuuhujawahi kupendwa na mwanamke ambae humpendi..!! Usingeanzisha huu uzi
Kupendwa usipopenda ni jambo gumu sana
Inaumiza sana kwa kweli , unajitoa kama n maji yanachemka 100c halaf yeye wa baridiiii kama barafu inaudhi kimahaba.
Wengine vin,gan,ganiziUnaanzaje mahusiano na mtu usiyempenda?? Kama anakupenda na humpendi you go sideways
Inaumiza sana kwa kweli , unajitoa kama n maji yanachemka 100c halaf yeye wa baridiiii kama barafu inaudhi kimahaba.
Umeongea vzr mkuu, ila mm sijamaanisha kulaumu bali "inauma" kujiona hupendwi wakati ndo chaguo lako! I know real love is fair play.Inauzi nini sasa. ..kwani Kuna ulazima kwa yule unaempenda nae kukupenda hivyo hivyo ---
Ni ubinafsi mkubwa sana -pale unapotaka hisia zako za upendo dhidi ya mtu fulani na yeye hisia zake ziweze kufanana na wewe. ..wakati Nyie ni watu wawili wenye hisia na matakwa tofauti. .....
Ukiona unaempenda mtu halafu umemuonyesha hisia zote na jinsi unavyo mjali halafu bado ikawa hakupendi basi achana nae. ..Huenda ikawa mawazo yake yapo kwa mtu mwingine ambaye ni tofauti ki-vigezo vya upendo na wewe
Kabisaaakupendwa na usiye mpenda inakeraa[emoji57]