Ukipata zero ya 35 means umepata F zote Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Ukipata zero ya 35 means umepata F zote. Kama ulikua unasoma masomo 7 (NECTA minimun requirement) means una F 7. Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years. Hiyo ndio ZERO ya 35. Yani medula haikuambulia kitu. Hata lugha ya taifa ni apeche alolo. Subhanallah. Inabidi taifa tuunge mkono juhudi za DC Jokate Mwegelo za kutokomeza zero Kisarawe na maeneo mengine ya nchi. Form Four Fighting For Food For Four Years. #TokomezaZero
 
Sikumsikia akisema chochote wala kuja na Strategy yeyote kuhusu kutokomeza zero zaidi ya kumtukana Pierre

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Tokomeza SIFURI inaweza kuondoka na mtu

Jr
 
Ndio maana yule kioo ngozi wao anajaa tu msambwada hahaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…