Nitamwambia abadili style ya siasa, hizi za katafuta umaarufu kwa kufungwa ni ya kizamani, wenzie hawafanyi hivyo na maarufu kuliko yeye, ipo siku atafungwa kweli akitoka akute idadi ya watoto wake imeongezeka, dunia hii siyo ya janaUkipata nafasi ya kuzungumza na Mbunge wa Jilbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema, ambaye yupo mahabusu kwa zaidi ya miezi mitatu sasa kwa kesi ya maono utapenda kumwambia nini?View attachment 467002
Unamlinganisha huyu msema ovyo na Mandela? Ndo maana hujui hata kuandika.Ntamwambia ata nelseni mandela alipitia huko huko,akaze buti freedom is coming
Asimame na isaya 8: 10 inasema FANYENI SHAURI PAMOJA ,NALO LITABATILIKA,SEMENI NENO ,LAKINI HALITASIMAMA,KWA MAANA MUNGU YU PAMOJA NASIUkipata nafasi ya kuzungumza na Mbunge wa Jilbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema, ambaye yupo mahabusu kwa zaidi ya miezi mitatu sasa kwa kesi ya maono utapenda kumwambia nini?
View attachment 467010
Nitamwambia awaombee na watu kama hawa wawe wanatumia akili zao wenyeweAsiichezea taasisi ya urais,,,aige mazuri ya wapinzani wengine ambao hawaropoki ovyo
Abadili staili ya siasa zake nyakati zimebadilika.....zaidi ya yote akumbuke wana arusha wanahitaji maendeleo asipokuwa makini atachokwa mwisho wa siku 2020 watam mwaga.