Mkuu ni hela za Kitanzania(Tshs).Ujue ujasiriamali inatokana na kuwa na wazo na jinsi ya kuweza kusimamia hayo mawazo ili yaleta tija katika business au shughuli unayotaka kuisimamia.Samahani mkuu hizo hela ni za Zimbabwe?
Samahani lakini.
Kwa hiyo biblia inaruhusu hiyo riba? Subhaanal-maliki-lqudduus..zimekaa tu! mkuu hata bible inakata hivyo, kwa nini usiwe venture capitalist au utukopeshe watu tukuzalishie kwa riba?
biblia inaruhusu ndio. hivi dhambi ya riba ni nini?. ukizingatia pesa ni kama commodities zingine hivyo haiwezi uzwa bila faida.Kwa hiyo biblia inaruhusu hiyo riba? Subhaanal-maliki-lqudduus..
biblia inaruhusu ndio. hivi dhambi ya riba ni nini?. ukizingatia pesa ni kama commodities zingine hivyo haiwezi uzwa bila faida.
biblia inaruhusu ndio. hivi dhambi ya riba ni nini?. ukizingatia pesa ni kama commodities zingine hivyo haiwezi uzwa bila faida.
mkuu naomba uniwekee na torati 23;20"Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba" (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)
"Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote" (Biblia, Kutoka 22:25)
People always get excited whenever there is a boom in a certain sector such as real estate, agriculture, stock market or seasonal businesses like transportation.
However during a boom, those who make money are those who have been there long enough and understand the ropes. Those with no investment goals become the prey.