Ukipata hela nifuate....................... ..............

hahhahaaaa Mpwa mchokozi wewe, sijapata ona, niko Muheza leo napata mihogo kidogo, then jioni naelekea Lushoto

jamani daaah.........ukifika Kerenge nichukulie mzuzu na nazi nije nimpikie sosoliso maan tangu azionje basi imekuwa kero...NIpe namba yako basi nikutumie empesa
 
Last edited by a moderator:
kilimo cha kisasa bwana, eti mnalima na mabuti, wakati mmepanda juu ya trekta.
Vere fani

na kofia - waiita hard helmet....na gloves, na vizibo vya pua kuzuia vumbi na madawa!!!...na googles....balaa tupu!

wakati sie zamani mbefu unafukia na mguu mtupu!!!
 
Last edited by a moderator:
sosoliso na Paloma, si bora muanzishe kundi lenu la maigizo, muwe mnapita pita kwenye shule za kata na kupiga show za shingi miamia

hatuna shida ya shingi miamia, kama ndio consultation unfanya poleeee umenoa!!!! na ukome kunivia mtaroni Bujibuji siku nikikuona nakurushia guruneti!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…