Polepole mnafiki sana. Katika watu 5 waliokuwa na nguvu kwenye awamu ya Magufuli naye alikuwapo. Ile ndiyo awamu iliyoanzisha kuiba uchaguzi wote, kuteka na kuua wakosoaji, na uchafu mwingine wote. Eti leo hii anaongelea maadili kwenye kuengua wagombea. Pumbavu sanaMungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.
Piga tu ukipata fursa.
NO MERCY!
Ukisikia Wana hubiri amani Huku wameficha mapanga ---ndio hii Sasa 🤣🤣Unasemaje??
View attachment 3405711
NO REFORMS, NO ELECTION.Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.
Piga tu ukipata fursa.
NO MERCY!
Kuiibia nyumba mwenzio sioshida nisawa na babausawa akupe milioni 10 kuomba kupitishwa udiwani hionipesa harali kupigwa kwakua matarajio ya mtoaji nikwenda kupiga baadaye hivyo akipigwa nisawatu.hapo kwapolepole yeanaonakabisa kipofu anaibiwa waziwazi hiosiosawa kiukweri ccm wameipindisha katiba yao wenyewe cc hatunabudi kulalamika walalamike wenyewe sisi nikuona mtifuano hapowatamwaga mboga wengiMungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.
Piga tu ukipata fursa.
NO MERCY!
Giza halifukuzi giza, ni nuru tu inayoweza kufukuza giza. Kama unachukizwa na wizi, rushwa na dhulma anza kwakujitenga wewe na vitendo hivyo ili wengine waone mfano wako.Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.
Piga tu ukipata fursa.
NO MERCY!
NO MERCYHii slogan nimeipenda kwakweli, ni kupiga tu.
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.
Piga tu ukipata fursa.
NO MERCY!
Piga tu bro piga 😁
Bro chaki zenyewe kabox kamoja🤣🤣🤣Piga tu bro piga 😁
Nani alitoa TZS 200,000,000.00?Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.