Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Huu utani au nini hiki?Unasemaje??
View attachment 3405711
Wee Piga tu!Unasemaje??
Piga tu ticha isiogope. Usipopiga wengine watapiga. Lakini usipige zote.
Ila Nape mishipa ya aibu ilishakata kabisaUnasemaje??
View attachment 3405711
Nimepiga vingi ila shida nikikutwa nitaondoka kwa mwendo mbaya sanaMwachiluwi umepiga vingapi?
Hii slogan nimeipenda kwakweli, ni kupiga tu.Piga tu ticha isiogope. Usipopiga wengine watapiga. Lakini usipige zote.
NO MERCY!
Piga ila hakikisha usishikwe na usiache alama yoyote inayokurudia, kuna muhuni huku kapiga Safuria ngumu ya kupimia mafuta kaenda kuuza na kaonwa sasa hivi kahama mpaka Mtaa alikoiba hakanyagi tena na haonekani maana kaambiwa kule ulipoiba wamekuona rudisha Safuria yao kurudisha hawezi sababu ameshaiuza masikini ya Mungu kajiharibia tu sifa sasa hivi anaitwa MwiziHii slogan nimeipenda kwakweli, ni kupiga tu.
Piga tu ticha isiogope. Usipopiga wengine watapiga. Lakini usipige zote.
NO MERCY!
Hebu mtazame huyo mzee kuanzia juu mpaka chini...Unasemaje??
View attachment 3405711
Hao unaosema wana hali mbali huwa wana tiki vibaya sana kiukweli watajua wenyewe.Hebu mtazame huyo mzee kuanzia juu mpaka chini...
Kwa kweli inasikitisha sana...
Hivi kweli huyu Nape kashindwa hata kumuweka vizuri mzee wa watu kabla ya kupiga nae picha na kuisambaza?....
Wananchi wana hali mbaya sana aisee!
Uhalisia hio sio fake ila inaumiza kidizaini hii kitaalamu inaitwa Ubunge-psychosisHebu mtazame huyo mzee kuanzia juu mpaka chini...
Kwa kweli inasikitisha sana...
Hivi kweli huyu Nape kashindwa hata kumuweka vizuri mzee wa watu kabla ya kupiga nae picha na kuisambaza?....
Wananchi wana hali mbaya sana aisee!