Ukipata free internet..utatumiaje?

free internet ndo ikoje, wengine tunatumia wi-fi tangu kitambo iyo. Ni kustream tu
 
Mimi muda wote natumia wifi ya bure. Mpaka nikipata likizo nikarudi home ndio najinunulia bando ,kwa kweli sina cha kufanya kwenye mitandao kila kitu naona kawaida .Muda mwingi naperuzi peruzi jforum na siku za mechi kali ndio na stream online.
 
Kudownload games, movies, kuangalia mpira, na kuperuzi mitandaoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…