kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,255
- 16,185
Lazima tufanye tathimini ya kina kujua kama ndani ya Tanzania kuna uzalishaji wa mafuta ya kula yakutosha kutosheleza mahitaji yetu ya mafuta ya kupikia kabla hatujatoza kodi ya mafuta yanayoagizwa, viginevyo zigo looote litawaangukia wananchi wenye kipato cha chini ambao LAZIMA wakanunue mafuta dukani ndio wale chakula.
Lazima waziri wa kilimo na chakula aje na takwimu halisi zinazoonyesha:
1. Mahitaji ya mafuta nchini kwa siku/week/mwezi/mwaka
2. Kiasi cha mafuta kinachozalishwa nchini
3. Kiasi cha mafuta kinachoagizwa nje ya nchi (imported)
4. Kiasi cha mafuta kinachosafirishwa nje ya nchi (exported)
Wananchi wetu hawa tunaweza kuwakuta wote wakiwa wamechanganyikiwa na wasijue cha na la kufanya. Ubepari, kodi nyingi na mifumo imara ya ulinzi kule Marekani vinasababisha wananchi wengi wasijue nini cha kukufanya, wamechanganyikiwa kiasi cha kumudu kusema na kufanya chochote kizuri sana au kibaya sana.