Ukiongelea "Establishment" huwa ni kina nani?

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,195
Wana JF,
Neno Establishment tunalitumia sana hata humu majukwaani bila kujali sana maana yake ni ipi. Pia sina uhakika kama wote tunalenga maana sawa kwa kulitumia. Tafsiri niliyokutana nayo kwenye Wikipedia inasomeka kama ifuatavyo;

The Establishment generally denotes a dominant group or elite that holds power or authority in a nation or organization. The Establishment may be a closed social group which selects its own members (as opposed to selection by merit or election) or specific entrenched elite structures, either in government or in specific institutions
chanzo; The Establishment - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa muktadha huu, hapa kwetu Africa Mashariki (nchi zote 6) tukisema "The Establishment" huwa ni kina nani?

Shukran
 
Kwa marekani ni convention ndiyo inayomchagua au kumthibitisha mgombea wao ambaye baada ya kupata magic number anaitwa presumptive pesidential nominee, kwa Tanzania ni mkutano mkuu wa chama unaopiga kura na kumpitisha mgombea wake, huu ni mfano kwa upande wa vyama vya siasa lakini inaweza kuwa taasisi yeyote
 
Shukran Mkuu, kwa vyama vya siasa haiwezi kuwa ni KAMATI KUU?
 
Kwa marekani ni convention ndiyo inayomchagua au kumthibitisha mgombea wao ambaye baada ya kupata magic number anaitwa presumptive pesidential nominee, kwa Tanzania ni mkutano mkuu wa chama unaopiga kura na kumpitisha mgombea wake, huu ni mfano kwa upande wa vyama vya siasa lakini inaweza kuwa taasisi yeyote

Sasa kwa mfano Trump alipokuwa analalamika kutopendwa na Republican Establishment, hawa ni kina nani?
 
Sasa kwa mfano Trump alipokuwa analalamika kutopendwa na Republican Establishment, hawa ni kina nani?
Wale wazee wa chama, mfano kama asingepata ile magic number wale wazee wangeweza kumchagua mtu mwingine hata kama alikuwa na delegates wengi kupita wagombea wengine bahati yake amepata magic number ambayo kwa republicans ni 1237 kama sijakosea na kwa democrats ni 2238 kama sijakosea, mfano mwingine ni kama ccm wale wazee walivyolikata jina la Lowassa kabla ya kufika mkutano mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom