bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Oct 11, 2013 #1 Ukiona mtoto unamtuma dukani harafu harudishi chenji ujue Ukubwani atakuwa mhudumu wa baa ni jambo jema mtie moyo . Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue huyo ni Fransis Cheka wa baadae ni jambo jema mtie moyo. Ukiona mtoto unampeleka shule za gharama lakini kichwani bado mbulula ujue ukubwani atakuwa mchezaji wa Taifa Stars ni jambo jema mtie moyo . Ukiona mtoto anakuwa muongo mwizi wa mboga jua ukubwani atakuwa kada wa CCM usimtie moyo piga sana charaza viboko. Endelea.....kama umeipenda... Ukiona........
Ukiona mtoto unamtuma dukani harafu harudishi chenji ujue Ukubwani atakuwa mhudumu wa baa ni jambo jema mtie moyo . Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue huyo ni Fransis Cheka wa baadae ni jambo jema mtie moyo. Ukiona mtoto unampeleka shule za gharama lakini kichwani bado mbulula ujue ukubwani atakuwa mchezaji wa Taifa Stars ni jambo jema mtie moyo . Ukiona mtoto anakuwa muongo mwizi wa mboga jua ukubwani atakuwa kada wa CCM usimtie moyo piga sana charaza viboko. Endelea.....kama umeipenda... Ukiona........
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,654 Reaction score 724 Oct 12, 2013 #2 ukiona mtoto analamba sukari,charaza viboko ukubwan atakuwa fisadi,,endelea zngne
CHALII TZ Member Joined Oct 5, 2013 Posts 75 Reaction score 15 Oct 12, 2013 #3 Ukiona mtoto wakike ananyonya sana vidole,ukubwani atakuwa mpenzi sana wa koni za vidume
roya Member Joined Oct 3, 2013 Posts 24 Reaction score 5 Oct 13, 2013 #4 ukiona maisha ni magum achana nayo ufanye dili zingine