Ukiona una vigezo hivi basi haujakamilika kiume

Ukiona una vigezo hivi basi haujakamilika kiume

Kujiamini kwa Mwanaume kunaanza na Mwanamke alienae sio unakua na Mwanamke hata kumtambulisha kwa watu ni mtihani vigugumizi kibao unamtungiatungia majina na vyeo vya uongo uongo unaogopa kusema Ni mtu wako watu watakupiga madongo, oa mke mzuri hata kumtambulisha usiwe na kigugumizi huyu ni mke wangu watu wenyewe wakimuona heshima inachukua nafasi jamaa ana Chuma kakamatia kisu kikali

Watu dizaini yako mnaongoza eidha kujinyonga au kulia lia kisa mapenzi
 
Watu dizaini yako mnaongoza eidha kujinyonga au kulia lia kisa mapenzi
Mimi namiliki Mwanamke mzuri na sichukui mazombi, wewe komaa na mazombi wako hautajinyonga na hautalia Ila kila siku utakimbilia Riverside kwenda kutafuta watoto wazuri uwagonge mkeo unamuona km Bibi wa 1945 huko kazeeka kachoka, wezombi haujui?
 
Back
Top Bottom