Habari wana jamvi?
Mi nawapa usia tu kwamba ukiona umpendae amekaa siku nzima hakuna sms wala kukubip basi ndo mafuta ya gari yanaishia hapo.
Nawasilisha labda kama una mawazo mengine.
karibu
Theory yako ina assume kila mtu ana girl£riend humu!