Vipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
Elewa neno amekaa vibaya, mfano hujavaa nguo za ndani au umevaa ila zinazoonekana ukiwa umekaaSasa mtu akikaa unakuwa haujapenda akae
HII NDO ELIMU INAYOTOLEWA NA SERIKALI YA CCMVipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
Hilo neno kukaa vibaya halijaonekanaElewa neno amekaa vibaya, mfano hujavaa nguo za ndani au umevaa ila zinazoonekana ukiwa umekaa
Kwako unafuu upo wapi mchana jioniMchana ukimwambia mwanamke kaa vizur anabana miguu,usiku ukimwambia kaa vizuri anatanua miguu
😂Mchana ukimwambia mwanamke kaa vizur anabana miguu,usiku ukimwambia kaa vizuri anatanua miguu
Tatizo si la CCM.HII NDO ELIMU INAYOTOLEWA NA SERIKALI YA CCM