Ukiona majibu haya jipange kuyaepuka

Ukiona majibu haya jipange kuyaepuka

uncle J4

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
25
Reaction score
28
Wasalaam..

Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchepuko wako/ au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.
KWA MFANO:

1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''
Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.

ASANTENI
 
Sawa. Mpo likizo, shule zimefungwa.
 
majb kama hayo nakumbana nayo sana ila some time nakuwa mjanja nayaepuka kimtindo ila kama mfuko umetuna hv huwa namtumia kuepuka usumbuf.
 
Aiseee
IMG_20180609_061310.jpg
 
Nawe sii unamuomba papuchi...tit fo tat
Mapenzi hamna ni utapeli tu juzi hapa kuna demu mmoja kaniomba elfu 40 kaniambia anataka anunue viatu nikampa baada ya siku tumejuana kama wiki nilimpenda kweli baada ya siku mbili ananitumia sms kuwa kasafiri kama vipi nifute namba yake hataki nimtafute tuachane awezi akarud dharau kibao baada ya wiki akaanza kunitafuta tena visalamu vyake anarudisha ukaribu nikawa najibu akajifanya mimi mwezi sio mda atarud kumbe hapo kamepata tatizo kubwa sasa kanaona hamna msaada mwingine kakaanza kunikopa elfu 60 ninkwambia ninay ila siwez kukupa kalituma matusi mengi nilishangaa
nilichokigundua madem zetu hawa hata uwatatulie shida zao hawana ata chembe ya shukrani
 
Hawa wee usiwaonee huruma maana was hawatuonei huruma nikututumia tuu so nawe ukimkamata kitandani mgegede kweli kweli. Hawa ni wakugegedwa tuu sio kujiweka
 
Back
Top Bottom