hahahaa..kumbe umemeshamaliza chuo Kantalamba.....nilidhani bado...ebu ngoja nichungulie kwen friji kwanza.....dada yako ananiambia bado mambo mazuri ila utakunywa moja tu usije ukazimika sawa?
baada ya kusema hayo, na kupiga funda, ukamsaidie dada yako jikoni....leo naona mapishi si mchezo....sawa eeh
Dah! Utakuwa umefanya la maana sana hahahahaha lol!....niwekee kule kwenye PM ππ...Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako mkubwa sana ππ
Dah! Utakuwa umefanya la maana sana hahahahaha lol!....niwekee kule kwenye PM ππ...Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako mkubwa sana ππ