ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,883 Reaction score 131,893 Dec 20, 2013 Thread starter #41 marejesho said: Natamani hizo enzi zingerudi sio sasa hivi vitu vingi ni fake.... Click to expand... mambo ya watsap, tango, skype ndo yanaleta ufeki... Saivi hata kujua kama wapendwa kweli sio rahisi...smfh!!
marejesho said: Natamani hizo enzi zingerudi sio sasa hivi vitu vingi ni fake.... Click to expand... mambo ya watsap, tango, skype ndo yanaleta ufeki... Saivi hata kujua kama wapendwa kweli sio rahisi...smfh!!
Nyamgluu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 3,160 Reaction score 1,729 Dec 20, 2013 #42 Ukionaga nimekata kijiti ujuage nimekubali! Fanyaga sambi sako mwenyewe! Hehe hapo ujue ni mwendo wa kumpiga ngwala muendelee.
Ukionaga nimekata kijiti ujuage nimekubali! Fanyaga sambi sako mwenyewe! Hehe hapo ujue ni mwendo wa kumpiga ngwala muendelee.
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Dec 20, 2013 #43 Eli79 said: mambo ya watsap, tango, skype ndo yanaleta ufeki... Saivi hata kujua kama wapendwa kweli sio rahisi...smfh!! Click to expand... umesahau na intagram mkuu
Eli79 said: mambo ya watsap, tango, skype ndo yanaleta ufeki... Saivi hata kujua kama wapendwa kweli sio rahisi...smfh!! Click to expand... umesahau na intagram mkuu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Dec 20, 2013 #44 Eli79 said: We farkhina ulikuwa wapi usijue...au kama mimi49 ndo kizazi kileeee...teeeeh! Click to expand... Ah bhana wee acha tu.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Eli79 said: We farkhina ulikuwa wapi usijue...au kama mimi49 ndo kizazi kileeee...teeeeh! Click to expand... Ah bhana wee acha tu..
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Dec 20, 2013 #45 Threesixteen Himself said: ! ! enzi hizo kufanya mapenzi wanaita kufanya matusi, teh teh teh teh nouma mno shhhhhh! ahhh! shhhhh! ah! shhhhh! aaaah! Click to expand... Msichana akiambiwa kufanya hivyo ni uchinvi na mvulana ikiwa hutakiwi na msichana anakuita mchinvi. Loh tumetoka kuzuri kweli!
Threesixteen Himself said: ! ! enzi hizo kufanya mapenzi wanaita kufanya matusi, teh teh teh teh nouma mno shhhhhh! ahhh! shhhhh! ah! shhhhh! aaaah! Click to expand... Msichana akiambiwa kufanya hivyo ni uchinvi na mvulana ikiwa hutakiwi na msichana anakuita mchinvi. Loh tumetoka kuzuri kweli!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Dec 20, 2013 #46 farkhina said: Unalijua zanzibar kuliko kuna basi moja linaitwa bamita? Click to expand... Si unajuwa na tunvyopenda kubatiza, lilikuwa basi la Chuo cha Kiislamu. Unalikumbuka basi la Born Coast lililosababisha Boflo kubwa kuitwa kwa jina la B​orn Coast?
farkhina said: Unalijua zanzibar kuliko kuna basi moja linaitwa bamita? Click to expand... Si unajuwa na tunvyopenda kubatiza, lilikuwa basi la Chuo cha Kiislamu. Unalikumbuka basi la Born Coast lililosababisha Boflo kubwa kuitwa kwa jina la B​orn Coast?
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,351 Reaction score 8,088 Dec 20, 2013 #47 Ngekewa said: Msichana akiambiwa kufanya hivyo ni uchinvi na mvulana ikiwa hutakiwi na msichana anakuita mchinvi. Loh tumetoka kuzuri kweli! Click to expand... ! ! unatisha mjomba hahahahahahahaha nouma mno yani
Ngekewa said: Msichana akiambiwa kufanya hivyo ni uchinvi na mvulana ikiwa hutakiwi na msichana anakuita mchinvi. Loh tumetoka kuzuri kweli! Click to expand... ! ! unatisha mjomba hahahahahahahaha nouma mno yani