!
!
Ukipita nje kwao unajiita kwa nguvuuuuuuuu mtoto ajue kuwa ushafika
tulifaidi wakati ule kwani hata mkimaliza interview yenu basi mtoto keshakata kucha zote kwa meno na aliposimama keshapafyagia kwa miguu!
hahahaha.....
kweli ilikuwa na raha yake....umenikumbusha mara yangu ya kwanza kutongoza, nilitokwa kijasho sitasahau..lol
tulifaidi wakati ule kwani hata mkimaliza interview yenu basi mtoto keshakata kucha zote kwa meno na aliposimama keshapafyagia kwa miguu!
NAMIMI NILIFAIDI KWELI ENZI HIZO
:bange:
Sambi sako mwenyewe,ukinipakia katika phonex sambi sako mwenyewe!Ukinipeleka polini sambi sako mwenyewe beee!
tulifaidi wakati ule kwani hata mkimaliza interview yenu basi mtoto keshakata kucha zote kwa meno na aliposimama keshapafyagia kwa miguu!
Wacha weee.... hebu tuhadithie basi japo kidogoπππππ
nakumbuka wakati namuimbisha Hevean on Earth...
Ha ha ha..mkuu kweli ulipitia huko, lol..
Ukipita karibu na kwao unapiga kelele ili akusikie....
nakumbuka wakati namuimbisha Hevean on Earth...
Ahahahahah wewe umezidi hata kumpa muda mwenzio yaani wasubiria hapo hapo kama msimamizi wa mtihaniπ±π±π±π±
Ha ha ha..Mi wakati hata ku-do sijui nilimwandikiaga barua demu aje nataka nikamtom_e. Sujui hata nilisikiaga wapi, hata angekuja nisingejua hata cha kufanya. Akaja mi nikafurahi kishenzi kuwa leo ndio leo demu si kaja!. Si akapitiliza kwa mother akampa barua niliyomwandikia??? Maneno mazitoooo!! Yaani siji kusahau kilichonitokea.