Ukiona Hivi Unakumbuka nini??

ha h a ha ha ha....., hapo ushampa barua ulochora mkuki moyoni hakujibu ukaamua kumuibukia ana kwa ana...., so funy
 
Alafu jamaa kaja na Prado Phonex II.
Lazima kieleweke tangu January anaimba tu hii Dec mwaka unaisha sasa kha!
 
... Una shingo ya upanga, macho ya goroli. Nikinywa maji nakuona ndani ya glasi. Usiku silali nakuota wewe...
 
Sambi sako mwenyewe,ukinipakia katika phonex sambi sako mwenyewe!Ukinipeleka polini sambi sako mwenyewe beee!
 
hapo kichaka lazima kimalizike maana hivyo kukata majani na kuyatafuna balaa
Jamaa hapo ana uhakika mambo swafi
 
... Una shingo ya upanga, macho ya goroli. Nikinywa maji nakuona ndani ya glasi. Usiku silali nakuota wewe...
hahahaaaaaaaa,sana tu mkuu na maneno mengine ya kujisifia,mara ooh nashika nafasi ya kwanza darasani,na mengine mengi
 
Enzi zile zilipelekea kuwabaini wasiokuwa na uwezo wa kujieleza ana kwa ana,sio leo hii hakuna kuonana bali mnatongozana kwa vijimeseji na kupigiana simu
 
Simu zimepunguza hizi tabu, siku hizi ukikuta mtu kasimama kibarabarani namna hiyo ni nadra sana.
 
ha h a ha ha ha....., hapo ushampa barua ulochora mkuki moyoni hakujibu ukaamua kumuibukia ana kwa ana...., so funy

Ha ha ha...mi naona ilikuwa na raha yake...
 
hapo kichaka lazima kimalizike maana hivyo kukata majani na kuyatafuna balaa
Jamaa hapo ana uhakika mambo swafi

Lol...jamaa yuko na phonex II, anasubiria jibu tu
wakikubaliana ni kumalizia kichakani tu..lol
 
Eti usiku silali nakuota ww ,kama hulali unawezaje kuota?jamani zamani raha bhana,unamvizia demu akitoka kutafuta maji ama sokoni basi utaoana watoto wa kike eti muda wa kuchota maji ni giza linapoingia ama ukiona wazazi wanakubania utajidai waenda hata dukani kumumua mafuta ya taa ya kupikia chai asubuh unapokwenda shule ili tu upite ktk kijiwe alicbokuwa jamaa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…