Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.
By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe
Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?
Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mkeMnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.
By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe
Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?
Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.
By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe
Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?
Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Mimi binafsi nimekuelewa sanaHabari wanajanvi? Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi.
Hii maada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku care pale umeanza mahusiano na she, then ww ndio kila siku unapiga sim nakuanza kujibebisha mara i love u, mara i mic u, alafu mpenz wako anajibu asante.
Mara ww ndo wa kutuma meseji yeye hakuanzi aisee ukiona hvyo minya mbio hupendwi babaaa.
Kanuni za mabaharia nikuminya mbio sio kujikaza kisabuni nakuendelea kujibebisha.
Mkuu..nimeongea uhalisia kabisa kama msema mada alichokisema.Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
Nyinyi huwa mnakuja kulinda mahusiano baada ya sisi kuchoka.Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
Mwanzo wa mahusiano tunakuwa fully charged kadri muda unakwenda inabidi mpambane kuturudisha kama mwanzo[emoji23]
Tatizo la wababa akijua tu ameshapendwa baaasi....Nyinyi huwa mnakuja kulinda mahusiano baada ya sisi kuchoka.
Mnaboa kishenzi
Si kweli,,Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.
By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe
Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?
Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Ukweli ni upi mkuu?Si kweli,,