Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

So no excuse yaaah. Tell me then why the hell am I always the second boyfriend to all girls I have dated, kama kumi hivi???
And the LUCKY first ones only slept with them kama mara mbili tatu tu. EVEN MY WIFE FOR GODSSAKE TOLD ME THE SAME CRAP. While men we always say even if they are trillion.

Am sorry if your former girlfriends and your wife told you you are the second,some of us tell it like it is,you are number 51,the choice is yours to stay or to leave.....what if what they were saying is true though??why did you marry her if you knew she was lying?:Cry:
 
go girl
 
Akina dada mbona mmekuja juu? Mmeisoma mkaielewe lakini?

"Ukiolewa bila bikira mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya"

Key word hapo ni 'anakuchukulia' haimaanishi kuwa ana ushahidi au kuwa afikiriavyo ndivyo ilivyo.

Mwanamme anapochukulia kuwa mkewe ni 'mgawaji' tumejiuliza athari ni kwa nani? Anajidhuru mwenyewe kwa kujikosesha raha ya maisha kuwa ameoa mwanamke huyo.

As long as hamwambii mwanamke, ameweka kichwani mwake tu, sijaona vipi inamuathiri mwanamke, mwacheni aendelee tu.

Hivi mwanamme kujua kuwa mwanamke anaemuoa alikuwa ni 'mgawaji', na bado akamuoa, kunamuweka yeye kwenye kundi la watu gani?
 
Sio kaishiwa mada peke yake hata mawazo hana huyu KANIBOA SANA LEO

kichefuchefu leo! Kama wataka bikra kawafuate watawa! Nawe kama unayo nenda kawe padri! Kwetu sie haina maana kwani mngezitaka bikra msingeomba ngono kabla ya ndoa. Watu kibao wameoa wenye bikra lakini ndo wanaongoza kwa kuwasaliti wake zao nakufuata wanaouza mtaani! Mapenzi yako wapi hapo? Au ndo kujikoki kama SMG? UMETIA KERO TU KWA POST HII
 
Sijui, ila mwanaume ungeweza fikiri hivyo endapo tu, uume ungekua na bikra, na wewe mwanamke wako angeikuta. Tusiwasemeseme sana kwasababu ya maumbile yao ile hali wanaume ndo wazinzi mara elf.
 
Ukiacha huo ujeuri wako na maneno yako hayo,utapata mke mzuri Klorokwini,uyatima si kilema ila attitude na maneno ya kinywa chako yatakunyima mengi.
sjui niseme bahat mbaya au bahati nzuri, tayari nina waifu na vijunior na senk god mpaka usiku wa jana hatujafumaniana. lakini hako kaushauri ka ujeuri nitakafanyia kazi nisije nikawa kama morinyo bana dah!
 
Akina dada mbona mmekuja juu? Mmeisoma mkaielewe lakini?

"Ukiolewa bila bikira mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya"

Key word hapo ni 'anakuchukulia' haimaanishi kuwa ana ushahidi au kuwa afikiriavyo ndivyo ilivyo.

Mwanamme anapochukulia kuwa mkewe ni 'mgawaji' tumejiuliza athari ni kwa nani? Anajidhuru mwenyewe kwa kujikosesha raha ya maisha kuwa ameoa mwanamke huyo.

As long as hamwambii mwanamke, ameweka kichwani mwake tu, sijaona vipi inamuathiri mwanamke, mwacheni aendelee tu.

Hivi mwanamme kujua kuwa mwanamke anaemuoa alikuwa ni 'mgawaji', na bado akamuoa, kunamuweka yeye kwenye kundi la watu gani?

na huyu ndio greti thinka wetu wa leo. naomba tumpigieni makofi. :A S 41::A S 41::A S 41:
 
kichefuchefu leo! Kama wataka bikra kawafuate watawa! Nawe kama unayo nenda kawe padri! Kwetu sie haina maana kwani mngezitaka bikra msingeomba ngono kabla ya ndoa. Watu kibao wameoa wenye bikra lakini ndo wanaongoza kwa kuwasaliti wake zao nakufuata wanaouza mtaani! Mapenzi yako wapi hapo? Au ndo kujikoki kama SMG? UMETIA KERO TU KWA POST HII

Halafu huyu jamaa bana dear hata masister siku hizi sio mabikra kabisa chakula cha mapadri leo eti mtu anakuja kusema ukiolewa huna bikra eti wewe malaya mijitu mingine bwana kuharibu ijumaa ya wenzao tuu hebu twende kuleee kwenye thread nyingine huku pumba tupu
 
Akina dada mbona mmekuja juu? Mmeisoma mkaielewe lakini?

"Ukiolewa bila bikira mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya"

Key word hapo ni 'anakuchukulia' haimaanishi kuwa ana ushahidi au kuwa afikiriavyo ndivyo ilivyo.

Mwanamme anapochukulia kuwa mkewe ni 'mgawaji' tumejiuliza athari ni kwa nani? Anajidhuru mwenyewe kwa kujikosesha raha ya maisha kuwa ameoa mwanamke huyo.

As long as hamwambii mwanamke, ameweka kichwani mwake tu, sijaona vipi inamuathiri mwanamke, mwacheni aendelee tu.

Hivi mwanamme kujua kuwa mwanamke anaemuoa alikuwa ni 'mgawaji', na bado akamuoa, kunamuweka yeye kwenye kundi la watu gani?

Kama umeona tumekuja juu na thread hatujaelewa tueleweshe basi mwalimu mkuu
 
sjui niseme bahat mbaya au bahati nzuri, tayari nina waifu na vijunior na senk god mpaka usiku wa jana hatujafumaniana. lakini hako kaushauri ka ujeuri nitakafanyia kazi nisije nikawa kama morinyo bana dah!

Thats mai fellow tablet....malaria haikubaliki!
 
Halafu huyu jamaa bana dear hata masister siku hizi sio mabikra kabisa chakula cha mapadri leo eti mtu anakuja kusema ukiolewa huna bikra eti wewe malaya mijitu mingine bwana kuharibu ijumaa ya wenzao tuu hebu twende kuleee kwenye thread nyingine huku pumba tupu

mbona unalalamika sana? autueleze yako ilitokaje ulimpa mwenyewe akaitoa, alikudanganya ukiwa mtoto (minor) au ulibakwa?
 
unajua....kinachonifanya nisielewe ni kwamba....kwa nini kila siku mwanamke ndio mwenye makosa siku zote...mtoto wa kiume ni ruksa kuchovyachovya hovyo lakini swala likija kwa wa kike kosa....je kama msichana alikuwa anajitunza bahati mbaya akabakwa....na yeye alikuwa malaya?...coz si wasichana wote wasio na bikira walipenda

Vere simple, a key that opens every lock its called master key but a lock which can be opened with any key its a bad lock!!!!.......................
 
Kama umeona tumekuja juu na thread hatujaelewa tueleweshe basi mwalimu mkuu

Usipande pressure kwa mwanamme/ wanaume 'kuchukulia' tu

Kwa 'kuchukulia' au 'kuamini' mtu anaweza amini chochote

Kuna watu wanaamini dunia imebebwa juu ya mgongo of a giant turtle wakati wengine wakiamini dunia ni flat like a disk.

Kwa nini ujikere kwa anachoamini mwengine kwa 'utashi' wake?
 
Asante kwa kunielewa, tunacho hitaji hapa ni usawa pande zote. Wanaume kwa wanawake na siyo kupinga ati hizi ni zama za kale. Umuhimu wa kuwa bikira utaujua pale utakapo ulewa au oa na mwenzi bikra na wewe siyo bikra. Hapo penye nyekundu ndio muhimu zaidi. Unajua ungu aliumba nafsi ambayo huwezi kuidanganya , ni lazima itakushtaki.

Mke kama ni bikra lazima atauliza, na ukidanganya utasutwa maisha yako yote. kwa hiyo utakuta haya mambo ni muhimu sana tuyazingatie badala ya kujifurahsisha na nadhalia sza uongo zilizo zagaa kila kona kuwa unakuwa mshamba kama hujaonjesha au ojna kabla ya ndoa. kumbe unajitengenezea kajihanamu fulani.

ingekuwa ndio hivyo basi kila mtu angeolewa na aliemtoa bikira mbona wanazibomoa na kukimbia si hao hao wanaume, hamna hata haya c umuoe unaemtoa bikira nyie vp hebu tupeni nafasi ala! taaaaaaaaaaaaaaaabu tupu
 
Usipande pressure kwa mwanamme/ wanaume 'kuchukulia' tu

Kwa 'kuchukulia' au 'kuamini' mtu anaweza amini chochote

Kuna watu wanaamini dunia imebebwa juu ya mgongo of a giant turtle wakati wengine wakiamini dunia ni flat like a disk.

Kwa nini ujikere kwa anachoamini mwengine kwa 'utashi' wake?

Mwalimu wangu nimekumisi upeo.
 
sjui niseme bahat mbaya au bahati nzuri, tayari nina waifu na vijunior na senk god mpaka usiku wa jana hatujafumaniana. lakini hako kaushauri ka ujeuri nitakafanyia kazi nisije nikawa kama morinyo bana dah!

Ana hasara huyo ambaye mumewe hajui kama kuwa nae ni bahati nzuri au mbaya na mpaka jana hamjafumaniana na unaona sifa ya kueleza:ban::Cry::Cry::Cry::Cry:
 
Back
Top Bottom