nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,379
- 3,152
Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
Pole sana mkuu umekanyaga pabaya...Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
