Tunawafundisha nini hawa watoto? Kuanzia walioandika hayo mabango na waliowabebesha wote wanahitaji Elimu ya ziada.
Unamjenga mtoto wa kike kuwa yeye ni mpokeaji mimba tu...kama vile yeye hahusiki na wala hahitaji kujua uhusika wake ukoje?
Wanaume mna kazi ya ziada kuwaelimisha Mabinti zenu/zetu na wapenzi wenu....Mimba ni ya wote wawili kila mmoja anahusika....