Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,773
ahusiki hapaaCc. mpwayungu village
Sawaahusiki hapaa
Cc. mpwayungu village
imewahi nitokea hii. vipi ujamlia buyu?Aiseee kuna first year mmoja UDSM, anatokea Mkoani huko, nimemnusuru asiibiwe na wahuni, na nikawa nampeleka machimbo ya kufanyia shopping za mahitaji yake, ameanza kuniletea za kuleta. Yaani ameninyima papuchi kweli? Ngoja boom likate ndo atanielewa mimi ni nani.
ahusiki❌ahusiki hapaa
Huyo ticha kaniambia mpwayungu hahusiki apaa 😃😃 imebidi niwe mpole.Mwambie aje ajibu kitu gani akinyimwa ananuna mwalimu mwenzake anauliza si wengine majinga haituhusu
non sensical issuesahusiki❌
Hahusiki✅
Sijui hiyo lugha uliyotumia..Mimi ni mtanzania najua kibantu tunon sensical issues
Unaweza kuwa Mwalimu wa kiswahili kweli...ngoja niendelee na uchunguzi!ahusiki
matege chief?Shida imeanzia hapa Mr Objective Football..View attachment 2815429
gharama zangu !Unanuna vipi kijana sababu ya mbususu?😅
Nimemlia buyu kinyama mwamba. Contacts zake zote ni nani na juzi akanitafuta ananiuliza amenikosea nini nimwambie anisamehe, nilishamwambia kosa lake na sina haja ya kumkumbusha tena. Najua boom likikata tu atanitafuta, hapo ndo nitakapomwonyesha rangi zote asizozijua.imewahi nitokea hii. vipi ujamlia buyu?
Umetoaje kabla ya kupewa?ulikuwa unabet?gharama zangu !
mbwai mbwaiNimemlia buyu kinyama mwamba. Contacts zake zote ni nani na juzi akanitafuta ananiuliza amenikosea nini nimwambie anisamehe, nilishamwambia kosa lake na sina haja ya kumkumbusha tena. Najua boom likikata tu atanitafuta, hapo ndo nitakapomwonyesha rangi zote asizozijua.