Ukinichiti nakuchiti

Huenda mleta mada anawapotosha yeye hafanyi hivyo
 
Kama huchiti wala hutachitiwa
Tatizo ni wale wanaochiti halafu wanataka wengine wafe na stress
Swali langu kwako: Kwa hiyo suluhu yako kwenye suala la cheating ni wewe kugawa mbususu?

Ulishajiuliza kwa nini unacheatiwa?
 
Wewe DEMU emu kaa kimya basi maana unaongea sana au upo kwenye siku zako za hedhi? Umevaa lile tambara kwanza?
 
Kuna mmoja anakojoa na mwingine anakojolewa so tofauti ipo hapo, wakikojoa 10 au20 na mwingine akikojolea 10 au 20 kuna mmoja atakuwa kama public toilet
 
Kuna mmoja anakojoa na mwingine anakojolewa so tofauti ipo hapo, wakikojoa 10 au20 na mwingine akikojolea 10 au 20 kuna mmoja atakuwa kama public toilet
So ni vizuri wote kujitunza ila mwanamke kujitunza zaidi ni credit, nyie kadri unavotumika zaidi unachakaa ila kadri mwanaume anavotumika zaidi anarudi ujana
 
Ila kilometer zitasoma kwa nani? Kidude ni chako utaamua ww mwenyewe umpe nan.
 
Nakadori huna huruma na [emoji174]
 
Nakadoro hivi wanawake ukimchit mwanaume unamkomoa yeye ama unajikomoa coz mna depreciation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…