Ukiniacha Nakuloga

Yaani unafuga kichanga mpk nyoka haonekani??usirudie tena.......maana tunaopenda kunyonya ile inshu mnatupa kazi yakutembea na toothpick!!
Afu mkuu usiongee tena hii kitu hadharani. Yaani umenivuruga kabisa kisaikolojia. Yaani hakuna kitu napenda zaidi ya hiyo inshu uloitaja.Huwa naifurahia kuliko ile ya kawaida.
 
Ha ha ha ha nawapenda kwa kweli ndio waume, zetu baba zetu, kaka zetu kw nini nisiwapende ila ako ka mchepuko apa kwangu "No"
Unawapenda wanaume??? Wangapi kwa mtindo huo bas hata wewe unaonesh una ka element ka kua na mchepuko wa pembeni bishaaaaaa
 
Kama kweli mnyamanyafu unalo hilo limekuganda!ni ma gwiji balaa watu wa mbeya wanawajua hao,hata ukipata mchumba wa huko kwa wanaowafahamu vizuri wanakataaga kuoa au kuolewa nao,sasa mkomage kuchezea watoto wa watu!
 
hahahahaaa, jamaa umechangamsha jamvi, asikutishe huyo mwambie ukinyoa tena utampelekea mengine,,,, akijichanganya bandua tena kamanda,,, we c kidume cha kutest kila sketi.....
 
Duh, najuwa ni kichekesho, ila hakuna cha kuloga wala kulogana, mnawafaidisha matapeli tu, mtashangaa waganga wananua ka Vitz na nyie kuishia kufulia..
Ila kama anakusanya ma**zi, siku nyingine mwachie mengine hasa kama unaona kwako kama una ka msitu! Kakubali kuwa jalala, wajinga ndio.....
 
Nimeingiwa na positive mind, saa hizi nataka nifuge afro jingine halafu nawatangazia waganga wa kienyeji kuwa kuna bidhaa mya imeingia mjini inauzwa kwa bei poa. Najua waganga, wazabizabina, washirikina na wengine wanaofanan na hao watachangamkia hii tenda.
 
red: local/traditonal science
blue: ukiwa mchawi utafundishwa na kuzielewa
yellow: proof ipo kwa kuwa watu wanarogwa

Sayansi ya aina gani? Principles zake zikoje?

Mfumo wake wa kupata proof ni upi?
 
Yaani unafuga kichanga mpk nyoka haonekani??usirudie tena.......maana tunaopenda kunyonya ile inshu mnatupa kazi yakutembea na toothpick!!

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi nimexheka saan yaan watu wamebaki wanashangaa kwa kicheko changu
 
hahahahaaa, jamaa umechangamsha jamvi, asikutishe huyo mwambie ukinyoa tena utampelekea mengine,,,, akijichanganya bandua tena kamanda,,, we c kidume cha kutest kila sketi.....
Huu ushauri umekamilika, hahahhaha nasisitiza tena mwambie ukinyoa utampelekea na mengineeeeee teh! teh! hapa mjini bhana yanini mtu akutishe? mtu mzima atishiwi nyau bhana
 
apana nimecheka! daaaah pole kwanza kalikuwa kamchepuko nn?sio dili mkuu baki njia kuu.
 
Afu mkuu usiongee tena hii kitu hadharani. Yaani umenivuruga kabisa kisaikolojia. Yaani hakuna kitu napenda zaidi ya hiyo inshu uloitaja.Huwa naifurahia kuliko ile ya kawaida.

mkuu naomba picha
 
Kwa thread zako za namna hii lazima unawamega sana kina lara, @lara1 humu ndani ya jamvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…