Ukiniacha Nakuloga

Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.

Haaaa...haaaa...haaaa...comment yako imenifanya nicheke sana maana imeambatana na chuki dhidi ya wanaume pamoja na visasi.
 
Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.
Hee kumbe mtu mwenyewe umo humuhumu JF!!!!
 
Sasa yale mandevu ya uvunguni yeye kayatunza ili iweje?
 
Hii ya Bujibuji isipotawala front page kwa siku zaidi ya 2 nitakumbatia transform nijirupue
 
Last edited by a moderator:
Mkuu binafsi utashangaa anaenda kufanyia nini...swali ni Dogo tu ambalo ningependa nikuulize...Je unaamini katika uchawi na mambo yanayofanana na hayo..??
 
Hata kama siamini, yeye anatunza uchafu ili nini kiwe nini?

Mkuu labda imani yake inamruhusu...
Isikupe sana mawazo Mkuu huyo anaku-shake kidogo ili akusikie unasemaje kuhusu ka-uhusiano kenu ka mpito.
Kama unaamini uchawi itakusumbua akilini lakini kama unapotezea kama Mimi wala isikupe taabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…