ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
azama hali ilivyo hii leo mapema kabisa asubuhi katika jiji la Mbeya hususani katika maeneo ambayo yamekuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu ikiwemo eneo la Kabwe.
Hii inafuatia kuwepo kwa vuguvugu lililokuwa linaendelea mitandaoni kuhusu maandamano ya disemba 09,2025, ambapo hata hivyo serikali imesema hakuna maandamano yoyote yaliyoratibiwa kisheria.
Mapema leo mwandishi wetu Godwill Kamendu amepita maeneo mbalimbali ya jiji la Mbeya kukujuza hali ilivyo.