Ukimya wake unaniumiza

Hakuna mume Hapo tafuta mwingine haraka
 
Hii Dunia ya Mungu ni kubwa na ina mabo mengi sana,Muda wa sisi wa kuishi ni mdogo sana,jaribu kujipa furaha,chapa mwendo utampata atakaye kufaa,enjoy,be happy.ciao
 
mmh mara nyingi mwanaume akitamka hivyo then baada ya hapo akaamua kuuchuna ujue moyoni mwake nafasi yako ni ndogo, yani uwepo wako kwenye maisha yake na kutokuwepo hakumpunguzii chochote, na hiyo hali kwa sisis wasichana hasa kama umempenda psychologically huwa inatuumiza mno, kwahiyo naelewa unavyojisikia, Pole mdogo wangu ila kama ni FUTURE unaitaka hapo sijui kama IPO
 
Hajali hisia zako usihangaike nae hata kama hahitaji ndoa kwa sasa angekutafuta mkalizungumza hilo kwamba ipo hiyo ndoa ila baada ya malengo yake kadhaa kutimia na ungekuwa mshauri wake wa karibu. Amejua unampenda sana ila yeye hakuhitaji kama mke ila girl friend ndio maana amekupa ruksa ya kutafuta wa kukuoa, inaumiza sana kuwa kwenye situation uliyopo ni bora kuvumila maumivu yataisha uendelee na maisha yako, kung'ang'nia hapo ni kuendelea kupokea maumivu mengine itafika siku atakutambulisha mchumba ake laba vigezo anavyovihitaji wewe huna. Umeanguka simama endelea na safari hilo goti ulilolichubua litapona mumy.
 

una ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…