Ukimya wa serikali na upotefu wa trilion1 za Marekani

Mheshimiwa Magufuli najua wewe sio mzuri kwenye hii elimu ya Business na Finance, na hio imei cost Tanzania shs Trilion1 ambayo ni hela haujaweza kuuingiza kama pato toka uingie madarakani ni hio ni kuonesha kwamba hio hela ni nyingi kiasi gani, kwa wale wana mahesabu watanielewa yaani kikwete alikua anaingiza Bilion 900 kila mwezi na Magufuli anainingiza average Trilion1.2 ukitoa hapo utapa kwa hio yeye kaongeza pato la kama 300bilion so kwa muda wote huu aliokaa madarakani hajaweza kufikisha trilion1 ambayo ndio hela tulio ikosa kutoka kwa wamarekani kwa sababu za kijinga tu zisizo na msingi na kujifanya hawezi kuingilia yale majanga yaliokua yanatokea zanzibar sasa kwa assessment za private companies Magufuli ni failier na anatakiwa afukuzwe au mkataba ukatishwe kama Director wa company kwa kutojua NPV ambayo ni kitu simple sana

Angeweza acha kukimbizana na akina bakharesa akapambana na marekani kupata hio hela kwanza then hao wakwepa kodai wengine baadae sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingine hapa i mean umeme wa kutosha nigeria pamoja na shortage ya umeme walio nayo still wana zalisha umeme zaidi megawatt 10,000 wakati sisi bado tunakomaa na vi megawatt 2000, na ni kitu ambacho bila wizi tulikua na uwezo wa kupata machine kutoka GENERAL ELECTRIC machine za zaidi ya Meg 3000 kwa hio trilion amabyo magufuli na kikwete wameichezea na kuendelea kukimbizana na vijitu vidogovidogo na thubutu kumtaja na kikwete sasa yeye ndio mwenyekiti wa ccm na Magufuli ndio baba wa Taifa hili kwa sasa

Ushauri: its not too late Mr president we can still make it lakini kama mtaacha na kuficha huo ukuu wenu atleast mkacheza huo mpira wa wamarekani mashaert walioyaweka wala sio mabaya wala sio makubwa hawajatuambia tuwe ma Gay hapana wameweka vitu muhimu kwa mstakabali wa Taifa pia fateni hayo mashart nyie mnayajua tafadhalini tunazihitaji hizo hela tusijifanye kwamba tunaweza kujitegemea wakati ukiangalia hio budget yenu ya kila mwezi hela za maendeleo katika hio trilion unayokusanya ni almost bilion250 sasa kwa huu mwendo Magufli trust me utaondoka madarakani bilabila kama mh kikwete halafu uonekane na wewe haujafanya kitu wakati ki ukweli unajitahidi kupiga kazi
yangu ni hayo kama mtanzania

Jamani tujitume, tufanye kazi, tuacheni kuomba omba
 
Ningekushauri usome andiko la mcc uone jinsi wazungu wanavyodanganya kuwa wanatupa hela nyingiii.<br />Hasara nao wamepata maana ukiondoa gharama zao na ununuzi unaotoka kwao mradi huo unatekelezeka kwa hela za ndani. Gharama halisi ya mradi haizidi 60% ya wanachotangaza.<br />Mi ningeishauri serikali iupitie upya kwa kuondoa gharama zisizo za lazima wautekeleze bila shida.
 
Siku zote ukijifanya unajeuri kwa mtu anaekusaidia lazima chamoto ukione so Tanzania taratibu ulimi utaanza kututoka mana kuna watu wanatumia Nguvu nyingi akili kidogo ni Sawa na kutembea kifua mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo kwa kutaka sifa ambazo hazina manufaa..mwingine anakurupuka kwenye media na kusema tupo tayari kufa njaa hata msipotupa misaada ilihali wananchi wako wananjaa unawasemea kuwa hawataki msaada wewe kama nani? Kuna mtu jeuri kama Mugabe ila mbona kaufyata je ni kwanini?
 
Huyu atàkuwa mcheza pool tuu, DC kamata yeye weka ndani 48 hrs akitoka atakoma kufikiria kwa kutumia masaburi
Wakae na hela zao kwanza nao watu wao Ni maskini sana tuu wanazihitaji

ukikua utaelewa namaanisha nini hio sio hela tumeenda kuomba au tumeipigia magoti no ni rotary inachezeshwa kutokana na utawala bora basi mnapewa haina jasho sio kitu cha kufumbia macho
 
shida nyingine serikali hawana hamu sana na hizi hela sababu MCC haipeleki hizo hela kwenye mifuko yao ya kijambazi miaccount yao ya kihuni badala yake wamejitengenezea system wenyewe wanasimamia wenyewe na mkandarasi wanatafuta wao no figisufigisi, i wish wote mngekua na uwezo wa kuona zile barabara zilivyofungua fulsa sehemu ambazo zilikua hata hazipitiki au hazifikiki eg sumbawanga
 
Mheshimiwa Magufuli najua wewe sio mzuri kwenye hii elimu ya Business na Finance, na hio imei cost Tanzania shs Trilion1 ambayo ni hela haujaweza kuuingiza kama pato toka uingie madarakani ni hio ni kuonesha kwamba hio hela ni nyingi kiasi gani, kwa wale wana mahesabu watanielewa yaani kikwete alikua anaingiza Bilion 900 kila mwezi na Magufuli anainingiza average Trilion1.2 ukitoa hapo utapa kwa hio yeye kaongeza pato la kama 300bilion so kwa muda wote huu aliokaa madarakani hajaweza kufikisha trilion1 ambayo ndio hela tulio ikosa kutoka kwa wamarekani kwa sababu za kijinga tu zisizo na msingi na kujifanya hawezi kuingilia yale majanga yaliokua yanatokea zanzibar sasa kwa assessment za private companies Magufuli ni failier na anatakiwa afukuzwe au mkataba ukatishwe kama Director wa company kwa kutojua NPV ambayo ni kitu simple sana

Angeweza acha kukimbizana na akina bakharesa akapambana na marekani kupata hio hela kwanza then hao wakwepa kodai wengine baadae sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingine hapa i mean umeme wa kutosha nigeria pamoja na shortage ya umeme walio nayo still wana zalisha umeme zaidi megawatt 10,000 wakati sisi bado tunakomaa na vi megawatt 2000, na ni kitu ambacho bila wizi tulikua na uwezo wa kupata machine kutoka GENERAL ELECTRIC machine za zaidi ya Meg 3000 kwa hio trilion amabyo magufuli na kikwete wameichezea na kuendelea kukimbizana na vijitu vidogovidogo na thubutu kumtaja na kikwete sasa yeye ndio mwenyekiti wa ccm na Magufuli ndio baba wa Taifa hili kwa sasa

Ushauri: its not too late Mr president we can still make it lakini kama mtaacha na kuficha huo ukuu wenu atleast mkacheza huo mpira wa wamarekani mashaert walioyaweka wala sio mabaya wala sio makubwa hawajatuambia tuwe ma Gay hapana wameweka vitu muhimu kwa mstakabali wa Taifa pia fateni hayo mashart nyie mnayajua tafadhalini tunazihitaji hizo hela tusijifanye kwamba tunaweza kujitegemea wakati ukiangalia hio budget yenu ya kila mwezi hela za maendeleo katika hio trilion unayokusanya ni almost bilion250 sasa kwa huu mwendo Magufli trust me utaondoka madarakani bilabila kama mh kikwete halafu uonekane na wewe haujafanya kitu wakati ki ukweli unajitahidi kupiga kazi
yangu ni hayo kama mtanzania
Upotevu???...

Kwani zilikuwa hela zetu zile?.
 
Watu waliobobea kwenye mikopo utawajua,sisi wengine hiyo sio fani yetu, we always desire to stand on our own.But let me tell you one thing,it is a shame to borrow.Borrowing is a form of slavery and for that reason a borrower is a slave.Laiti ungejua chanzo chanzo cha wimbi la kuhamasisha mikopo na sababu zake usingekopa.We as Tanzanians are safer without debts.
Kwa hiyo bwana mkubwa unataka kutuaminisha kwamba bajeti ya mwaka huu hatutakopa???? Ndio icho unachomaanisha??
 
Mheshimiwa Magufuli najua wewe sio mzuri kwenye hii elimu ya Business na Finance, na hio imei cost Tanzania shs Trilion1 ambayo ni hela haujaweza kuuingiza kama pato toka uingie madarakani ni hio ni kuonesha kwamba hio hela ni nyingi kiasi gani, kwa wale wana mahesabu watanielewa yaani kikwete alikua anaingiza Bilion 900 kila mwezi na Magufuli anainingiza average Trilion1.2 ukitoa hapo utapa kwa hio yeye kaongeza pato la kama 300bilion so kwa muda wote huu aliokaa madarakani hajaweza kufikisha trilion1 ambayo ndio hela tulio ikosa kutoka kwa wamarekani kwa sababu za kijinga tu zisizo na msingi na kujifanya hawezi kuingilia yale majanga yaliokua yanatokea zanzibar sasa kwa assessment za private companies Magufuli ni failier na anatakiwa afukuzwe au mkataba ukatishwe kama Director wa company kwa kutojua NPV ambayo ni kitu simple sana

Angeweza acha kukimbizana na akina bakharesa akapambana na marekani kupata hio hela kwanza then hao wakwepa kodai wengine baadae sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingine hapa i mean umeme wa kutosha nigeria pamoja na shortage ya umeme walio nayo still wana zalisha umeme zaidi megawatt 10,000 wakati sisi bado tunakomaa na vi megawatt 2000, na ni kitu ambacho bila wizi tulikua na uwezo wa kupata machine kutoka GENERAL ELECTRIC machine za zaidi ya Meg 3000 kwa hio trilion amabyo magufuli na kikwete wameichezea na kuendelea kukimbizana na vijitu vidogovidogo na thubutu kumtaja na kikwete sasa yeye ndio mwenyekiti wa ccm na Magufuli ndio baba wa Taifa hili kwa sasa

Ushauri: its not too late Mr president we can still make it lakini kama mtaacha na kuficha huo ukuu wenu atleast mkacheza huo mpira wa wamarekani mashaert walioyaweka wala sio mabaya wala sio makubwa hawajatuambia tuwe ma Gay hapana wameweka vitu muhimu kwa mstakabali wa Taifa pia fateni hayo mashart nyie mnayajua tafadhalini tunazihitaji hizo hela tusijifanye kwamba tunaweza kujitegemea wakati ukiangalia hio budget yenu ya kila mwezi hela za maendeleo katika hio trilion unayokusanya ni almost bilion250 sasa kwa huu mwendo Magufli trust me utaondoka madarakani bilabila kama mh kikwete halafu uonekane na wewe haujafanya kitu wakati ki ukweli unajitahidi kupiga kazi
yangu ni hayo kama mtanzania
nahisi maesabu yanamchanganya uyu mtu anakusanya 1.2 bilion kwa mwezi ni sawa je malipo ya kuanzia mawaziri mpaka watendaji wadogo ni kiasi gani na akisha lipa wote hao fedha ya maendeleo ni kiasi? maana asije kuwa anasema anakusanya ela nyingi ma mwisho wa siku zote zinaishia kwa watendaji na miradi ya maendeleo ela itatoka wapi?
 
Utapotezaje hela ambayo hukuwa nayo in the first place? Tofautisha ahadi na actual. Marekani walitoa ahadi, sasa wamebadili mawazo.
Kwani pesa hii wameahidi leo au?ni kweli hujui asilimia 56 ya budget ya serikali yako inategemea hisani?
 
Mheshimiwa Magufuli najua wewe sio mzuri kwenye hii elimu ya Business na Finance, na hio imei cost Tanzania shs Trilion1 ambayo ni hela haujaweza kuuingiza kama pato toka uingie madarakani ni hio ni kuonesha kwamba hio hela ni nyingi kiasi gani, kwa wale wana mahesabu watanielewa yaani kikwete alikua anaingiza Bilion 900 kila mwezi na Magufuli anainingiza average Trilion1.2 ukitoa hapo utapa kwa hio yeye kaongeza pato la kama 300bilion so kwa muda wote huu aliokaa madarakani hajaweza kufikisha trilion1 ambayo ndio hela tulio ikosa kutoka kwa wamarekani kwa sababu za kijinga tu zisizo na msingi na kujifanya hawezi kuingilia yale majanga yaliokua yanatokea zanzibar sasa kwa assessment za private companies Magufuli ni failier na anatakiwa afukuzwe au mkataba ukatishwe kama Director wa company kwa kutojua NPV ambayo ni kitu simple sana

Angeweza acha kukimbizana na akina bakharesa akapambana na marekani kupata hio hela kwanza then hao wakwepa kodai wengine baadae sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingine hapa i mean umeme wa kutosha nigeria pamoja na shortage ya umeme walio nayo still wana zalisha umeme zaidi megawatt 10,000 wakati sisi bado tunakomaa na vi megawatt 2000, na ni kitu ambacho bila wizi tulikua na uwezo wa kupata machine kutoka GENERAL ELECTRIC machine za zaidi ya Meg 3000 kwa hio trilion amabyo magufuli na kikwete wameichezea na kuendelea kukimbizana na vijitu vidogovidogo na thubutu kumtaja na kikwete sasa yeye ndio mwenyekiti wa ccm na Magufuli ndio baba wa Taifa hili kwa sasa

Ushauri: its not too late Mr president we can still make it lakini kama mtaacha na kuficha huo ukuu wenu atleast mkacheza huo mpira wa wamarekani mashaert walioyaweka wala sio mabaya wala sio makubwa hawajatuambia tuwe ma Gay hapana wameweka vitu muhimu kwa mstakabali wa Taifa pia fateni hayo mashart nyie mnayajua tafadhalini tunazihitaji hizo hela tusijifanye kwamba tunaweza kujitegemea wakati ukiangalia hio budget yenu ya kila mwezi hela za maendeleo katika hio trilion unayokusanya ni almost bilion250 sasa kwa huu mwendo Magufli trust me utaondoka madarakani bilabila kama mh kikwete halafu uonekane na wewe haujafanya kitu wakati ki ukweli unajitahidi kupiga kazi
yangu ni hayo kama mtanzania
Upotefu ndio nini?
 
Mimi na shangaa watu wanakuwa vinyonga kiasi hiki? Wakati wa kikwete mlilalama na kuwa mikopo iko juu deni la taifa limekuwa kiasi kikubwa na leo mnalilia misaada hivyo hukawa mlitegemea kuongoza nchi kwa misaada ? Hivi hakuna njia mbadala mnaweza kuishauri serikali ili tukapata vyanzo vingine vya mapato hadi hadi iwe misaada?
 
Back
Top Bottom