Ukimya wa Mnyika una uwalakini?

Mnyika enzi za Dr.Slaa,alikuwa mzungumzaji sana na mjenga hoja mzuri..Lakini kwa sasa mnyika yuko kimya sana,sijajua sababu nini??ukimya huu unasababu yake!!!
Kweli nimeamini ukiwa mwanaccm lazima ujitoe ufahamu. Nchi imekunbwa na balaa la njaa na wanafuñzi kukosa mikopo badala ya kushauri njia mbadala kusaidia nini kifanyike mnakuja na siasa maji taka na kuuliza watu mbona flani haongei?!! Jizi propaganda chafu na rahisi mnazozitumia nyie watu wa lumumba mtaipeleka nchi shimoni.
 
Jibu hoja tajwa acha kuropoka!!
 
Omera Pasco natamani Tz yenye katiba nzuri isiyowafunga waliochaguliwa kwa vyama vyao kama tunavyoona ktk nchi za wenzetu Rais, Mbunge & Diwani anaweza kusimama dhidi ya chama chake na asipoteze haki yake. Tumeona kina McCain wakiwa dhidi ya mgombea wao Mr Trump na hawatishwi na vyama vyao.

Leo hapa kwetu kuna wabunge, madiwani na hata Rais wamekuwa watumwa kwa vyama vyao hata kama matendo yao ni kinyume na wananchi.

Kama si misimamo ya vyama tungepata katiba mpya na nzuri, na hata bunge letu lingekuwa na tija.

Watz tuuache Unafki tudai katiba bora ya wananchi itakayotuweka huru. Si haya mambo ya kufia vyama.
 
Mnyika ni mtu makini mno. Hakusubiri kwenda na upepo wa kisiasa ila ametumia muda mrefu kujitafakari binafsi na kuamua hatma yake. Kwa mtu mwaminifu na makini, lile tukio la 2015 halikuwa swala la mchezo mchezo.
 
Jibu hoja tajwa acha kuropoka!!
Siwezi kujibu hoja mfu,kipuuzi,kichawi na za kitoto katika kujadili maisha ya watu. Kwa mtindo huu mtafikia sehemu na kutaka kujua fulani kala nini au kashinda njaa. Huu ndio unafiki,fitina,uchawi,wanga na utoto kumjadili mtu badala ya kujadili changamoto,sera na mipango ya nchi.
 
Kwanini lazima afungue mdomo kama Nape hata hakuna ulazima?
 
Dah...inauma aiseeee..yaani uchafu mliokuwa mnaupigia kelele ghafla mnaukuta bedroom yenu..[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kwanini mnajaribu kuangalia upande mmoja tu, na kuacha kabisa kuangazia changamoto ambazo Mnyika binafsi amekabiliana nazo katika kipindi hiki kama binadamu, ambazo hazihusiani na siasa? Mkuu Pasco kwanini unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa Mnyika? Kwamba mtu smart upstairs anaweza kufuata mtu ndani ya chama, siyo? Mzee Kinana yuko kimya sana tangu ujio wa JPM, kwa hiyo tuwatazame Mnyika na Kinana kama wanaotatizwa na jambo linalofanana, siyo?
 
Mnyika, Mdee na pia yule dogo wa Arumeru wana jambo hawalikubali.
Achaneni na chadema,chadema chama kubwa.
Nyie mnataka waongee wote ili mupate weakness zao?
Mnajua waongea wote,ni rahisi kuwapangia mashambulizi kiurahisi,sasa mnawakosa mnawachokonoa waongee,hamuwapati sasa
Chadema ina hazina kubwa ya watu wenye upeo,hamutuwezi kutuingiza mkenge hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…