AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda
Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo
limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa
upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe
tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake
na mahakama.
Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni
umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu
mengine jimboni kwake Arusha.
Shardcole.
Wapiga kura ni kina nani? ...... Anayekusanya kodi ni nani?CHADEMA: JAMANI WANANCHI WANATAKA MAJI SAFI NA SALAMA
CHADEMA: BARABARA HAZIPITIKI ..WANANCHI WANATAKA BARABARA
Kwavile ni upinzani
CCM: WANANCHI HAWANA MATATIZO HAYO
NDO SERIKALI YETU YA SASA
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.
Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.
Shardcole.
alichokihitaji ameshakipata! Kama hana sababu za msingi ni usaliti kwa wana Arusha na watanzania wapenda mabadiliko kiujumla! Tabia hii si mfano mwema kwa wanasiasa wa upinzani!WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.
Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.
Shardcole.
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.
Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.
Shardcole.
nadhani sera ya u-punga ipitishwe tu, maana mapunga bila mibwabwajo hawsikii raha
kamanda anafanya kazi, si lazima apige mbinja ndio ujue yupo kazini
Mkuu hii unayotumia si lugha ya Mstaarabu