mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,727
Wako wapi walioko madarakani, kwa waziwazi, walijiunga na kushiriki kwenye "Safari ya Matumaini"? Wamechukua 'form' za kuomba uongozi ngazi mbalimbali kwa chama tawala au vyama vingine? Au wanasubiri Nabii atamke wazi ni njia gani salama (chama) ya kuelekea kwenye matumaini!