Ukimwona sasa huwezi kumtambua

Ukimwona sasa huwezi kumtambua

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
28,280
Reaction score
56,988
Hatimae yule mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa ''kutokupenda kula'' amepata matibabu na ukimwona sasa huwezi kuamini. Picha huzungumza zaidi kuliko maneno

KABLA:
150521132623-05-rt35003-super-169.jpg

Sasa
rachael-farrokh.jpg
 
Hutapenda kula km kuna shibe ila km kuna njaa chakula utakitafuta
 
Hapana. Huyu alikuwa ana ugonjwa unaoitwa anorexia. Unaweza ku-google kwa maelezo zaidi.

A google nn sasa anorexia ni nn kwako? Anorrxia na bulimia is just like left eye n right eye no big difference
 
A google nn sasa anorexia ni nn kwako? Anorrxia na bulimia is just like left eye n right eye no big difference
!!!!!!!!!! Mkuu gari ulilopanda linaenda Kilwa Kivinje. Sio Sirari!
 
Hapana. Huyu alikuwa ana ugonjwa unaoitwa anorexia. Unaweza ku-google kwa maelezo zaidi.
Hapa niliandika kwa lengo la kuleta changamoto. Naifaham anorexia. Hoja hasa kwa nini haya magonjwa yako zaidi huko? Ndio tafsiri halisi. Kuna issue za mtoto unaambiwa anahitaji anger management, mwingine Attention Disorder na yanayofanana na hayo. Hapa ni kwa sababu ya land of plenty au sisi kwetu yapo ila tunafunika kombe..............
 
Ni ugonjwa tena mbaya sana na ni kweli unaitwa anorexia nevosa ...soma encsyclopedia ya jamaa anaitwa naramore utaukuta kuanzia chanzo...dalili madhara hadi tiba yake
 
Hapa niliandika kwa lengo la kuleta changamoto. Naifaham anorexia. Hoja hasa kwa nini haya magonjwa yako zaidi huko? Ndio tafsiri halisi. Kuna issue za mtoto unaambiwa anahitaji anger management, mwingine Attention Disorder na yanayofanana na hayo. Hapa ni kwa sababu ya land of plenty au sisi kwetu yapo ila tunafunika kombe..............

Huku kwetu vingi mnasema kalogwa, bangi au malezi
 
Back
Top Bottom