Binafsi nafurahi kuona hatua zinachukuliwa kuutokomeza UKIMWI haadi hivi sasa mwenye nao na asiyenao wote wanakuwa sawa. Tatizo ni baadhi ya waathirika kuwaambukiza watu wasio na hatia kwa makusudi kwa kuwa wanakosa tofauti na wale ambao hawana UKIMWI eti tufe wengi. Ukimwi hauna macho hivyo binafsi nitafurahi siku ikipatikana chanjo ya ukimwi maana itawaokoa wengi wasio na hatia.