Ni kweli mkuu. Siasa iliyotumika kudang"anya ni kubwa sana. Na kuna watu ukiwambia kwamba ugonjwa huu ni uongo watu awawezi kukuelewa. Lakin watu kama sisi tumejua huu uongo tuko huru sana. Namshukulu sana deception kwakutufungua macho. Na mimi naendelea kutoa elimu mitaani wakuelewa wataelewa wasioelewa basi ilimradi ujumbe nimefikisha.