Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Baada ya Incident la miezi kadhaa iliyopita la kugegedana nyama kwa nyama na mhudumu wa Guest House wakati naenda chuo,nilipata stress sana kujiuliza kama kaniacha mzima au kaniachia umeme!!!
Leo nikaamua niuanze mwaka kwa kwenda kupima na majibu yameulipua moyo wangu kwa furaha,Dokta kanipima kasema sina maambukizi na wala sitapata,ila tu nipunguze uzinzi.
Kaniambia pia group langu la damu limenisaidia ni ngumu kudaka virusi,ila wakati nasubiri majibu nilikuwa full jasho kutetemeka daaah
SASA NIPO FREE NO STRESS
Beautiful ones are not yet born