UKIMWI ulikuwa zamani 1990+

Mpaka nmesahau kama kuna UKIMWI
 
Na watu wanajitafunia tuu hawana muda
 
Aaaaiiiseeeeee 2004 tulikua na mwalimu wetu huyo inasemekana alikua anaumwa huo,aliisha vibaya sana.Halafu kulikua na unyanyapaa,mpaka walimu wenzie walimnyanyapaa,wakija darasani wanatuambia,msiwe mnanunua bagia za mwalim fulani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…