dah, umeleta hii mada wakati muafaka.
Kuna binti mmoja walitaka kumwondoa kisa ameanza kuugua eti analipwa bure.
Alilazwa kama miezi 3 -4 hivi.
Hongera mkuu kwa positive thinking; na Mungu akujalie matakwa ya moyo wako.
Be blessed!
hayakosei lakinimakampuni binafsi yanaongoza kwa unyanyapaa!
hayakosei lakini
huyu hana +ve thinking, bali ana health inferiority ndo maana anasema hajui HR atamchukuliaje. si lengo langu kukuhukumu, na wala si vyema kufikiri unabaguliwa
kama unaamini uko na +ve thinking, we nambie ushasikia wapi mtu ansema mi nina malaria au typhod lakini sijui kazini watanichukuliaje?
komaa kimtindo na msongo mawazo, muombe sana Mungu azidi kukujalia afya njema, pia andaa maisha ya wanao na yako ya baadaye