Ukimvua Sudi brown mask unafungwa?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,672
Reaction score
35,437
Lile mask analolivaa sudi brown ukimvua kiutani utani au kikweli kweli unafungwa?
 
atakuwa ananuka sana yule jamaa,sijui ndio vazi gani lile,maisha haya!
 
Sasa kwa nini mpaka leo waty hawajui sura yake?

Si anautani na watu wengi kwa nini wasimvue hata kiutani utani?
Mh kwa kweli sijajua kama wanaweza kumvua kiutaniutani
 
Ni life style yakee aloamuaa..!! Kibongo bongo wanaovaa vilee wachache sana kama hawapoo so kavunja rekodi pia..
 
Hivi ina maana watu hawajui anapoishi Sudi au?


Na kama wanajua hawamtembelei?

Na kama wanamtembelea ,muda wote kavaa mask tu?

Na kama kavaa mask ,je hamna hata kapicha chochote alichopiga kabla hajaanza kuvaa hilo li mask?
 
Mpaka leo hamjajua tu sura yake? Tatizo simu yangu iliyokuwa na picha yake ilikufa ghafla..
 
Picha zake zipo kibao mkuu, na kuna thread mbili zilishajadiliwa humu na zote kuna picha zake,
Ila kuhusu swala la kumvua mask inasemekana jamaa amepitia mafunzo ya karate so kwenye kujilinda yupo vizuri ndomana watu anaowafanyia umbea wanaishia kumtukana tu na hakuna hata mmoja aliyethubutu kupigana naye, sio kwamba hawamjui sura, ila wanaogopa kung'olewa meno
 
Duh
hebu kajaribu kumvua afu urudi na mrejesho
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…