Ukimuona Asprin mwambie...

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
Jamani Asprin yuko wapi? Namtafuta sana, kuna kazi ya Taifa naona anaweza kusaidia
Nadhani wote mnafatilia soap opera ya ukaguzi wa vyama na kamati ya PAC
naona ni kama mambo yamekwama sababu maswali yanakua mengi:

1. Nani anatakiwa kukaguliwa?
2. Nani anakagua?
3. Nani hajakaguliwa
4. Kwanini hawajakaguliwa?
5. Nani kashindwa kutekeleza majukumu yake?
6. Sasa nani atakagua kwenda mbele?
7. Kwa budget ipi ukaguzi huo utafanyika? etc

Maswali kibao!!!!! Mi nawaangalia tu!
Mi namjua mkaguzi mzuri tulie nae hapa JF (na labda nchini) ni mmoja tu na hajawahi kukusea katika kazi zake za ukaguzi. kawakagua wengi kwa budget yake mwenyewe na ripoti za ukaguzi zilitangazwa pale zilipohitajika.
Kwanini tusimtumie SENIOR EXPERT wetu wa JF katika ukaguzi huu? awafunde na wengine the art of ukaguzi.

ps: Mi nilikataa kukaguliwa kwa sababu ninazo zijua mwenyewe.


cc: klorokwini (under his new ID, if any), Uncle Kaizer na wajukuu wote.
Pia wanasiasa kadhaa kama Matola na FaizaFoxy, ZeMarcopolo na zomba.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe? basi nimepitwa sana na habari za humu ndani.
Nani yupo njiani kum-replace? maana hii kazi ina umuhimu wake

Aliyeko kwenye mafunzo ya vitendo ni Filipo, ila naye hayuko active kivile.

ODM tutamstaafisha soon!
 
Last edited by a moderator:
Nani yupo njiani kum-replace? maana hii kazi ina umuhimu wake

Ni mimi Mwali na nimesikitika sana kusikia hujakaguliwa! Embu kam huku haraka!
 
Last edited by a moderator:
Inabidi mumpe kwanza kofia ya kuzuia tindikali.

Jiji limeharibika hili...
 
kumbe kazi ya kukagua, ving'amuzi ninavyo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…