UKIMPENDA KWA DHATI HUWEZI KUMCHOKA!!

UKIMPENDA KWA DHATI HUWEZI KUMCHOKA!!

Kosa good sex kwa mwanamke kwa miezi km 6 hivi ndo utajua km unampenda au laa...

Men love through sex Sana sana Kama akiweza kumridhisha mpenzi wake/mpenzi wake..

Ngoja mpate misukosuko mwanamke Apunguze hisia na wewe hapo ndo utajua unampenda au laa.

Halafu ukute huoni uhakika was kurudisha health sex life kwenye relationship yenu...utatamani usione hata sura yake
 
Kumekuwa na imani nyingi sana potofu kwenye mapenzi kwamba ukidate na mtu muda mrefu unamchoka unatafuta mwingine.

Jaman hizi habar sio za kweli zipuuzwe, mimi nilikuw ni mhanga na hapo before sikuwai kuwa na history ya kudate na demu zaid ya miez3 ila saiv nko na bibie tunaenda 10 months ila hata chembe za kumchoka sion wala sisikii

Yani daily mapenz ndo yanaongezeka kwake, na mzigo nakula napotaka ila utamu daily unaongezeka. Kweli nmeamin ukiamua tulia unaweza na wala hutamchoka mpenzi wako, yan daily unamwona mzuri.

Vijana tunakumbushana kuwa na mahausiano serious ukibugi hapa uko mbelen utapata tabu.
Nakazia
 
Kosa good sex kwa mwanamke kwa miezi km 6 hivi ndo utajua km unampenda au laa...

Men love through sex Sana sana Kama akiweza kumridhisha mpenzi wake/mpenzi wake..

Ngoja mpate misukosuko mwanamke Apunguze hisia na wewe hapo ndo utajua unampenda au laa.

Halafu ukute huoni uhakika was kurudisha health sex life kwenye relationship yenu...utatamani usione hata sura yake
Aisee unachozungumza ni kweli kabisa
 
Miex kumi tu mi miaka 4 ila kama tumetoka kutongozana juzi ila tumetake rest coz ys mgogoro
 
Back
Top Bottom