Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
Unachezea hapo mkuu?Napenda Namba 4
Haswaaa ni wewe nn??Unachezea hapo mkuu?
Karibu sana Karagwe kwa wanyambo3 π
Mie ni medium size nipo kwa namba 3Haswaaa ni wewe nn??
Ahsante sana mkuuKaribu sana Karagwe kwa wanyambo
Njo dm basi tuyajengeMie ni medium size nipo kwa namba 3
Ulishachelewa kuna mubaba ananimiliki so endelea kutafuta wajenzi wenzioNjo dm basi tuyajenge
Yeyote ataeingia 18 zako unacharaza...!
Nimeokoka...Yeyote ataeingia 18 zako unacharaza...!
Nimekaa paleeee ππ....!Nimeokoka...
Number 1 forever πKwa wanyambo tunacheza na namba tatu, ndivyo tulivyo.
Kwako mdada kulingana na kabila lako wewe ni namba ngapi hapa..?
Kwenu wanaume mnapenda namba ngapi hapa..?
View attachment 3462605
Sawa..Nimekaa paleeee ππ....!