Ukimkopesha mwanamke pesa ni asilimia ngapi za kurudishiwa??

Huu ndio ukweli kabisa.... Tena bora huko maofisini... Sisi huku uswahilini KIEMBE MBUZI ndio balaa... Mtu unamdai na anapita karibu yako na anakusalimia kama kawa... Tena na kiberiti anakuomba awashie sigara...
kama hakuna kinachoendelea yani
 
Nilimtongoza-ga miaka iliyopita huko akaninyima papuchi yake nikawa mpole, mwaka jana tumekuja kukutana mawasiliano yakafufuka upya akakopa hela kiasi fulani nikampa, kurejesha akataka kuleta utata kwa kujilegeza legeza akijua nitamshobokea nikumbushie kuhusu kunivulia kyupi - weeeeeeee nilimkomalia ile hela hadi aliirejesha yote japo kwa mbinde sana na mawasiliano akakata.

Ukibugi tu ukamla papuchi deni ndio basi tena
 
Siku Shangai ndio udhaifu wetu wanaume wakati mwingine cha kushauri kabla ya kumkopesha mtu vigezo passport yake barua kutoka kwa mtendaji wa kata anayo kaa mashahidi wawili nao wanakuwa na passport size ili inacase akikuzungunsha njee ya makubaliano au kukukwepa sheria ndio ina fanya kazi yake rasmi mpaka atakupenda mwenyewe
 
Sio lazima kila mwanamke umle! Wengine wabakishe ili uwe na dada na shemeji! Kila aina ya uhusiano ina umuhimu wake. Wakati mwinge una hitaji kuwa na dada, wakati mwingine unahitaji kuwa na mpenz, na wakati mwingine unahitaji kuwa na rafiki wa kike!
Kuhusu deni lako: Watu wote ni wagumu kulipa madeni. Ila wanawake ndio wagumu zaidi. Cha kufanya, mkumbushe mwambie awe anakulipa laki moja moja kila mwezi kwa miezi mitano. Ukiona anakurembulia ujue anataka mmalizane kishkaji. Wewe ni mtu mzima, sikufundishi cha kufanya.
Kuna dem niliwahi mpa laki mbili baada ya kuona uhusiano unazorota nikamuita nikamwambia ile laki mbili niliyokukopesha nimekusamehe. Potezea wala usijisumbue kulipa... Basi kuanzia hapo tukawa fresh tu... Alikuwa ni class mate wangu.
 
Nilimtongoza-ga miaka iliyopita huko akaninyima papuchi yake nikawa mpole, mwaka jana tumekuja kukutana mawasiliano yakafufuka upya akakopa hela kiasi fulani nikampa, kurejesha akataka kuleta utata kwa kujilegeza legeza akijua nitamshobokea nikumbushie kuhusu kunivulia kyupi - weeeeeeee nilimkomalia ile hela hadi aliirejesha yote japo kwa mbinde sana na mawasiliano akakata.

Ukibugi tu ukamla papuchi deni ndio basi tena

Huu ujinga sifanyi kabsaa japo ni zuri
 
Sio lazima kila mwanamke umle! Wengine wabakishe ili uwe na dada na shemeji! Kila aina ya uhusiano ina umuhimu wake. Wakati mwinge una hitaji kuwa na dada, wakati mwingine unahitaji kuwa na mpenz, na wakati mwingine unahitaji kuwa na rafiki wa kike!
Kuhusu deni lako: Watu wote ni wagumu kulipa madeni. Ila wanawake ndio wagumu zaidi. Cha kufanya, mkumbushe mwambie awe anakulipa laki moja moja kila mwezi kwa miezi mitano. Ukiona anakurembulia ujue anataka mmalizane kishkaji. Wewe ni mtu mzima, sikufundishi cha kufanya.
Kuna dem niliwahi mpa laki mbili baada ya kuona uhusiano unazorota nikamuita nikamwambia ile laki mbili niliyokukopesha nimekusamehe. Potezea wala usijisumbue kulipa... Basi kuanzia hapo tukawa fresh tu... Alikuwa ni class mate wangu.

Wacha nimsamehe coz mara nyingi nilikuwa natoka nae out msela sana, usela umeisha kisa pesa na sijawai dai maybe anaogopa akinichek ntamdai cjui
 
Utakuwa umefanya la maana. Wema wako utakaomtendea utaandikwa Mbinguni. So you will have nothing lost. Cha muhimu mpigie simu au umuandikie ujumbe kuhusu msamaha wa deni ili awe na amani!
 
Sio lazima kila mwanamke umle! Wengine wabakishe ili uwe na dada na shemeji! Kila aina ya uhusiano ina umuhimu wake. Wakati mwinge una hitaji kuwa na dada, wakati mwingine unahitaji kuwa na mpenz, na wakati mwingine unahitaji kuwa na rafiki wa kike!
Kuhusu deni lako: Watu wote ni wagumu kulipa madeni. Ila wanawake ndio wagumu zaidi. Cha kufanya, mkumbushe mwambie awe anakulipa laki moja moja kila mwezi kwa miezi mitano. Ukiona anakurembulia ujue anataka mmalizane kishkaji. Wewe ni mtu mzima, sikufundishi cha kufanya.
Kuna dem niliwahi mpa laki mbili baada ya kuona uhusiano unazorota nikamuita nikamwambia ile laki mbili niliyokukopesha nimekusamehe. Potezea wala usijisumbue kulipa... Basi kuanzia hapo tukawa fresh tu... Alikuwa ni class mate wangu.
Urafiki wa kawaida wa mwanaume na mwanamke ni siasa.
 
Back
Top Bottom