BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,054
Ha ha ha ha wacha nisubir koment hapaWana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.
500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Usiseme Wanawake, sema mwanamke, kuna wengine wako poa sana, akikwambia kesho anakupa, ujue kweli anakupa.wanawake ni wagumu kulipa aiseee...
Mkumbushe atakuwa kasahau
wanawake ni wagumu kulipa aiseee...
Kama umempa mwenyewe nini kinakuuma? Au nawewe ulikopeshwa ukaliwaWana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.
500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Usiseme Wanawake, sema mwanamke, kuna wengine wako poa sana, akikwambia kesho anakupa, ujue kweli anakupa.
Kama ulimhonga ni sawa maana nikawaida kumvuta mrembo kwa pesa but kama ulimkopesha kwa kutalajia kulipwa kapime hakri yako kama ipo sawa.Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.
500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Inategemeana, labda kakwama tu anajikusanya akurejeshee yote iliyokamilika.Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.
500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Kama ulimhonga ni sawa maana nikawaida kumvuta mrembo kwa pesa but kama ulimkopesha kwa kutalajia kulipwa kapime hakri yako kama ipo sawa.
Mimi niliambiwa haina haja nizirudishe