Ukimkopesha mwanamke pesa ni asilimia ngapi za kurudishiwa??

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.

500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze🤡
 
Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.

500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Ha ha ha ha wacha nisubir koment hapa
 
Ukimkopesha mtu set akili yako kurudishiwa au kutorudishiwa,kumpoteza mkopaji au kupoteza hela na mkopaji
 
Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.

500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Kama umempa mwenyewe nini kinakuuma? Au nawewe ulikopeshwa ukaliwa
 
Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.

500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Kama ulimhonga ni sawa maana nikawaida kumvuta mrembo kwa pesa but kama ulimkopesha kwa kutalajia kulipwa kapime hakri yako kama ipo sawa.
 
Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3 inaisha afu hata kunitafuta sahiv hakuna so kama before toka nimkope kanitafuta siku2 za mwanzo mpaka leo kimya. Kinachouma sikumla nilifeli sana na alikuja kwangu kuichukulia hyo cash.

500k zangu inauma si bora ningempa mama la mama akanunue pamba apendeze
Inategemeana, labda kakwama tu anajikusanya akurejeshee yote iliyokamilika.

Ila nikupe na angalizo pia, maana hayo yashanitokea.

Kukopwa pesa ni njia moja wapo ya mwanamke kujilengesha kwako.

Ila huyo sasa kazidisha sana hesabu.

Iko hivii? Kama mbinu zake za ushawishi wa kukunasa zimegonga mwamba, basi njia rahisi ya kukopa hutumika sana, ili utakapoanza kumdai apate muda wa kukuona na kuongea naye.

Ungelimkopesha kwa gia ya kumchukulia kwa shemeji, hela hiyo ingekuwa ilisharudi, maana ungelikuwa na uwezo wa kumtuma mkeo akamdai.

Hela anakuwanazo sana tu, lakini hakulipi ili jaziba zako zipande 'akupoze'.

Tena 'akikupoza' hela yako anaweza sasa kukurudishia kiroho safi. Lakini kwa kujikweza kwako utamzuia na mchezo huishia hapo.

Kama hautaki hayo makitu, gangamala arejeshe.

Wanaakili sana hao viumbe mkuu!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom